Msimu 2020 wang’oa nanga
Katika ile hali ya kuazimia kumaliza msimu mapema na kuzipa timu zitakazo shiriki katika mashindano ya kombe la klabu bingwa barani Afrika mwishoni mwa mwaka wakati mwafaka wa kujitayarisha, shirikisho la magongo nchini limekata kauli ya kuwa na mechi moja katikati mwa juma ili kuafiki lengo hilo. Kwa kuwa Subira huvuta heri, hatimaye zamu ya …