Maangazio ya wikendi

Huku mwaka na msimu wa magongo nchini unapo endelea kusongea utepe, mashabik wa magongo nchini wanazo kila sababu ya kujumuika pamoja katika nyuga za magongo katika maeneo tofauti ili kushabikia vikosi vyao vitakapo kuwa vinachuana. Siku ya Juma mosi mida ya saa sita mchana, itakuwa zamu ya wasomi wa chuo kikuu cha Kenyatta